USAFIRI NA MALIPO

Tupigie SIMU au WHATSAPP 0692 395 081
 
TUTAKUPIGIA SIMU KUHAKIKISHA ODA YEYOTE. Hatuwezi kusafisirisha mzigo bila kuwasiliana na wewe kwa simu au Whatsapp kwanza
 
MALIPO YA BIDHAA
Unawza kulipia bidhaa kwa CASH (Dar es Salaam tu), MPESA, AIRTEL MONEY, TIGOPESA na zaidi. Tumejiunga na mtandao wa MASTERPASS. Unaweza kuwa na amaani kwamba kampuni yetu imesajiliwa kihalali. Ukinunua bidhaa yeyote utapew maelezo kamili ya kulipia.
 
USAFIRISHAJI WA BIDHAA
Tunasafirisha sehemu yeyote Tanzania
Tunazo dukai 2 Dar es Salaam (Oysterbay na Posta) na unaweza kupokea na kulipia bidhaa zako dukani
Kusafisirisha mzigo inaweza kuchukua siku 1-3 kama upo DAR ES SALAAM, na siku 5-7 kama upo nje ya Dar es Salaam.
 
GHARAMA
Gharama za usafiri zinategemea na eneo. Kwa kawaida Dar es Salaam utalipia 5,000/- na nje ya Dar es Salaam 12,000/- mpaka 15,000/- (mpaka kituo cha basi). LAZIMA TUTAHAKIKISHA GHARAMA KABLA KUSAFIRISHA BIDHAA YEYOTE.
 
KURUDISHA/KUBADILISHA BIDHAA
Tutakubadilishia bidhaa kama ni MPYA, HAIJAFUNGULIWA na HAIJAZIDI SIKU 3 - PESA HAITARUDISHWA
Gharama za usafiri kurudisha bidhaa ni ya CUSTOMER. 
 
Kama unahitaji kubadilisha au kurudisha bidhaa, tafadhali PIGA SIMU au TUMA WHATSAPP 0692 395 081 
 
Muda za kazi ni JumaTatu mpaka JumaMosi kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni.